Mtanzania magafool

Vipi kaka kindly cc these to jamii forums seems you guys are allergic to winning…
[ATTACH=full]53358[/ATTACH]
[ATTACH=full]53359[/ATTACH]

Hehehe,
He is MIA till twendinaiteen

Mtanzania MakuFudhi

He he. Has Nigeria won anything?

Yeah 3 Aluminiums and 2 Tins.

Mdanganyika magufool hawes onekana hapa.

mtantanzania megafool napenda hii kienyeji yenyuuuuuu

[ATTACH=full]53372[/ATTACH]

Nipo hapa Kama @Mwizi . Siendi Popote.
Nadhani kama kungekuwa na huu mchezo wa matumizi ya viungo vya uzazi huko olimpiki/love making…tungejinyakulia medali sana kama sio zote. Sisi wabaya wa kimapenzi.

Hili si mbaya kaka ukitaka. Wacha nikurushie Fb yake upambane.

[ATTACH=full]53424[/ATTACH]

Wacha, Kenya has the highest medals tally in Africa standing at 4 Gold and 3 Silver and number 14 overall kwa sababu ya hizo sissy games Europeans play to rig the medals won by them.

Unataka ukorogewe joke unyweshwe kama uji ndio uelewe?

Ata yangu ni joke!

Another silver via Tumuti.