Mtanzania anashangaa: 42 million people in six IGAD member states face high levels of acute hunger in 2025 (Djibouti, Kenya, Somalia, South Sudan, the Sudan and Uganda)

Utaweka picha hata milioni nne, lakini huku kenya wenye wapo hatarini katika baa la njaa hawafiki milioni mbili. Hao milioni 13.4 wenu tunawaweka kwenye maombi huku tukinunua vyakula vyenu na kuwaacha mkiwa hali ya kukosa matumaini.

Posti hata kutoka Buckingham Palace, bado kizungu chakupiga chenga, njaa nayo ndio hio inakumaliza wewe na kizazi chako.

Kwikwikwikwikwi. Everyone in the world knows that every year more than 1,000,000 Kenyans die of hunger.

My personal life remains private, I am not a fool like Kenyans.

No Brain Yap GIF