Mtaka Yote Hukosa Yote

Majamaa niwaambie,

Kitambo like 2 years ago I had traveled to Mwanza in Tz. Kulikuwa na ka pettite flani finance alikuwa ame nimaliza kwa hoteli I was in but singeweza mwambia hiyo time juu hakuna kitu inge happen ama pia it was a short stay. I gave her my number and we started chatting hapa na pale.

First forward nime rudi huu mji na I tried making contact na alikuwa super easy. What she told me ni I should not book the same hotel she works in so that after her shift, ata come place niko ni fanye hizo vitu zote nishawahi mwambia kwa whatsapp.

The same day I arrived, we went to have lunch at a place called Bonasera then nikaona kitu imeiva kushinda ile ingine. As usual nikiwa na watu wa job lazima kucheza chini, nikamskukmia number nikamsho ani call akiwa game. To my surprise ali reach out akiuliza nime come kufanya nini huku na hata mind kuni keep company. I asked her what time her shift ends and it was almost the same time na ya ule mwingine. I opted to spend time na wa kwanza lakini kulikuwa na ka tatizo, wakiwa job they are not supposed to use phones, so communication mostly was one way. She had promised to reach out immediately her shift ends which is midnight lakini she didn’t, she reached out at 2:00am na sa hizo nilikuwa nime bleki already. The other petite one had reached out on time but due to not knowing her well, niliona anaweza niwekea mchele na aende na laptop ya kazi + passport and that would really embarass me. I told her we do the next day.

Next day ule wa kwanza kept on pressuring me that niende nimchukue job ikiisha which is around 11pm and I was game. Hiyo siku ndio imepata Tz wanacheza game yao ya mwisho so shift ilikuwa busy. I tried to reach her but wapi. She texted around 12 midnight akisema ana come. One hour later I texted akasema ana maliza hesabu ana come. Kufika 2am I was canceling as I had a morning flight na sikutaka kuchelewa ama kumess job. Chura haikuja maze. I tried reaching out to the second petite but nikapata nishakula block.

3 Likes

A case of blue balls.

Unge
Baby Monkey Aww GIF

5 Likes

Serves You Right…

Ungejua, after kuchukuwa contact ya the second lady ungembook for the next night, not the same night as the first one. But anyway this happens to many of us when we think with our dick rather than our brains :rofl: