Naona CL imebadilika hakina personals tena
Some people are generally slow in life. @pseudonym naona kuna watu watahitaji trauma counselling hapa si uwafanyie hivyo.
Don’t be too hard on the poor sod. Cannt you see where he comes from. Slowness lives there
:D:D:D:D:D what these people need is to get off the net and meet real people.
kafitha!
@Rick wa Ungwaro hamia uptown labda utashikanisha vitu haraka uwache kubehave kama mattercore ya baboon
Watu appa wamekuwa sjw’s
kama tukona pesa za kuafford CL mjinyonge
Pole. leo vile ni Sunday ndio ilikuwa umejihami na jar mzima?
Kwani hii website imekua directory ya hizi websites na zinginezo kama hizo.
Yeah…right…
:eek::eek:You mean kuna watuhawawezi afford CL?
Someone must have reported it after the fake “white men” from this same ferkin ktalk village…
Ktalk brought down CL Kenya Personals.