Kuna siku sukari niliambiwa na donda niingie kwa gari nipige seti.
Leo nimesimama kando ya barabara tuktuk ikakuja mama ya soko akashuka nasikia ananiambia toa mzigo nyuma sijui nipeleke wapi.
Nikamlenga akaanza kusema venye vijana hawapendi kazi ni raha tu.
2 Likes
But mama wa soko was right, hupendi kazi, ni raha tu
6 Likes
Hiyo ni 100bob ya keg ya black umekataa?
2 Likes
I have 8k on my mpesa
3 Likes
Na bado mshahara ijaingia… wewe ni mdosi
1 Like
Najua sasa 7850 ni ya lanye kwa hio hesabu. 150 ni ya smocha mum akikufungia nje kabla hujakula.
1 Like
Si utoe ata 1000 uingie mtush ununue luku mpya mzee?


