I rarely listen to reggae these days. But I remember this medley
https://www.youtube.com/watch?v=upXnRUZBBL8
Nice stuff. Ingawa video Editing ya capleton inakaa kama ile mathogothanio ya Charles Luche pale Calif
Aaaand, back to Kompas

Mambo matamu i tell you. Correction io huitwa Liberation riddim.
Cheki hapa Zion riddim yenyewe, moto kama pasi
Lava ground nomare
Ras Shiloh’s On To Zion was my favourite chune outta Liberation Riddim.
wueh. moto kama pasi.
Turbuence kwa nza kuna kangoma kake lemme find it used to love it sana
Edit : I found it, True life story.
this sent my mind straight to DJ Stano na Jeff Mwangemi. Mwangemi sijui alikua anavuta nini kwa studio
My pick is JahMali-Ghetto youth
DJ EASY huwa ameweza mix tamu bila kelele mingi na effects mingi. Kwanza classic riddim aliweza.
I-wayne aliwachoma alikuwa slow na vile alikuwa ana flow na hio riddim.
Pia Queen afrika na randy pia alimash up.
whatever hapenned to i-wayne. Wood for the fire ilikua moto pia
Hii riddim walai ni kali