Msimu wa madawa mikoroshini tupeane uzeefu

Mimi nimeanza na Kiuadudu
_Suba Chlo 55EC+
Yenye viambajo Aminifu
Chlorpyifios 50%
Cypemethrin 5.0%
Inert ingredients 52.0%
Nilichanganya na MULTI-TRIACARB 500SC
Yenye Viambajo Aminifu
Triadimenol 25%
Carbendalzim 25%
Inert ingredients 100%

Baada siku tatu nikapuliza Sulphur.

Je wewe kwaka umefanya je

Maandalizi ya awali tractor kulima kisha haro
Samadi ya Ng’ombe
Nilipanda pia kunde japo sikupata tatizo mvua

Watakuja wataalam Mkuu

Hapo ndio unakumbuku jf
Hapa ngumu

Aiseee

Kimyaaaa