Mshahara wa mwezi june umetoka?

Habari wakuu
Nimekumbushia thread ya kuulizia mshahara maana tumeaicha kule Jf Tz.
Mshahara wa mwezi june umetoka kea kada yeyote ile?

Wakuu tiririkeni,wengine tunawadai watumishi…lakini mkuu kama wewe ni mtumishi si unaangalia salio kwa sim banking!!

Maa wee… Tunatia aibu sasa jamani . Mambo mengine tujizuie …
Tupo ugenini hukuu…

Mbadooo

Naomba niLogoff, maana sio kwa aibu hii

Iweeee!
Tupo ugenini sawa lakini mwenyeji wetu katupatia chumba chetu wenyewe. Tunaweza kuwa huru kama hayupo mlangoni kutusikilizia

Aisee ngoma mpaka jumatatu hii
Na eid imetumaliza

Nilisha chimba tukutane kwenye kona kabla sijafika home anaenidai jumatatu ndio tutazungumuza

:p:p:puskimbie mkuu
Najaribu kukumbushia ya kule nyumbani. Maana siku kama hizi hii mada ilikuwa inatrend.

Means pesa mkonon au??

Haaaa
Haaaaaahaaaaa

Tauari

:D:D:D:D:D:D the spirit of JF

Aibu kuu…

Huyakuti mambo haya kwa wenyeji aisee…

Kama wabongo hawatatumia platform hii kuwa na sense ndo bas tena.

Bado

Jiwe kasema mpaka j3

Kweli mkuu?..kuna mtu anachangu,nataka nisimlazie damu

Wengine mishahara tunajilipia wenyewa

Bado kidogo

mwenye taarifa atujuze…ni mwisho wa mwezi ni muda wa kukabana na madanga