Msanii Chid benz akamatwa na madawa ya kulevya gram 5 anasa kwenye 18 za Kamanda Mroto

Msanii wa kizazi kipya Chid benz a.k.a Chid bajaji kwa mara nyingine amekamatwa na madwa ya kulevya uko jijini Dodoma na kufanyiwa usaili live na kamanda Mroto…

Huyu wamfunge tu sasa naona hakomi

Tupe link ya video tushuhudie jinsi alivyoaibika mbele ya tv

Kwa nini habadiliki, kama ni kweli.

Ile kitu ni mbaya sana.

Nilimuona kwenye wasafi TV jamaa amekongoroka huwezi kumtambua kama ni Chid mpaka mtu akutsmbulishe labda.

Huyu akae jela tu anyooke maana sober house zote anatoroka.

Arosto si mchezo.

Gari ilishaawaka hiyo wamfunge akapumzike

Kishashindikana huyu

Langa aliimba “Kifo, jela au taasis” sasa huyu ameshapitia jela na tasis ila bado tu sasa kinachofuata mimi sijui

Hahah!! Ngoja na mimi niishie kucheka mana naogopa kukufuru

APIGWE KIPIGO CHA [SIZE=6][COLOR=rgb(184, 49, 47)]MBWA KOKO[/SIZE] ATAACHA, KAMANDA FANYA KWELI

Kwa kupigwa huwa hawaachi,ni maombi tu ndio yanaweza kumuokoa…

Maombi hayatakiwi kwa mtu anayefanya upumbavu makusudi, huyu ni kipigo cha [COLOR=rgb(184, 49, 47)]MBWA KOKO tu.

Hvi kati ya papuch na bangi kipi kitamu zaidi?

[ATTACH=full]177158[/ATTACH]

Moloto akishapiga nae selfie baada ya wiki utamuona tena kitaa, wazee wa kiki, kakosa kiki kwa muda mrefu kaamua kuitafuta kiubwete

Chid Benz mikononi mwa Kamanda Gilles Muroto ni baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya yenye uzani wa gram 5 leo mkoani Dodoma. Hii mara ya pili kwa msanii huyo kukamatwa mkoani Dodoma.
#huyu jamaa mbona kila Siku anakamatwa na kuachiwa,what so special about him? Kwanin hawamweki lupango?[ATTACH=full]177176[/ATTACH]

[ATTACH=full]177178[/ATTACH]

Bila bange Chid haendi

Inasikitisha