MSANII ALI KIBA AMVUA NGUO WAKILI ALBELT MSANDO: UTEUZI WA UTOUH KUWA MWENYEKITI

Kwani kuna Ally Kiba mmoja tu? Hivi ukiwatafuta akina Mohamed Rashid au Rashid Mohamed utawapata wangapi. Wewe unakosea kuelekeza mawazo yako kwa Ally Kiba msanii wa muziki. Huyu wa masheria hayo ni mtu tofauti kabisa inaweza kuwa hiyo ni User name tu si unajua utawala wa mawe ulivyo?

Mi hata sijasoma

Na iwe hivyo.

Mmmmh

Ndefu mnooo nimeshindwa kuisoma na ivo vifungu vya sheria ndo nime choka kabisaa

Kafafanua vzr, kisheria hyo anaejiita Ally kiba, kimsingi si hyo mwanamziki, anaweza kuwa ally kiba mwingine au mtu ambae ni mmbobezi kwenye sheria ametumia jina la ally kiba kufikisha ujumbe kwa hadhira mapema

Ukitazama aliesema ameandika ally kiba hakusema chanzo, kama ni fb, inst, twita, au chanzo chochote rasm cha ally kiba

Ukiondoa hzo dosali, uchambunzi umeshiba, anaeweza kuujib pia anapaswa kuwa mmbobezi kwenye sheria…

Bigup yake

[COLOR=rgb(184, 49, 47)]Mbona title INA sema msanii Ali Kiba ni Msanii gani mwingine anae jiita alikiba uki muacha uyu mzee wa Eyooooooo

Mkuu chanzo kinacho thibitisha kuwa ni alikiba, by the way kiba hajasoma sheria…

Hahahhaa…

Ali Kiba yupi!??

Unakuja kutafuta nini huku? Si jiwe wenu mnaona anachofanya ni kizuri, baki huko mpige makofi. Shetani usifuate malaika, kaa na shetani Jiwe

unaelewa maana ya msanii Ali kiba kwa hiyo wasanii alikiba wapo wengi?

Msanii Ali kiba

Huyu nguli aliyetoa haya maelezo nimekubaliana naye bila kusita. Amefafanua vema kama ambavyo mawakili wasomi nguli kufanya.

Simaanishi kuwa hawezi ila alisema huwa haongeleagi siasa

Kichwa cha hili bandiko kiko wazi kabisa, kimemtaja ‘Ali Kiba’ kama msanii, halafu wewe unasema kuna Ali Kiba mwingine? ebu Tutafutie msanii mwingine anayeitwa Ali Kiba ili tumuondoe kwenye hili bandiko huyu Ali Kiba tunayemfahamu ambaye pia ni msanii.

Ali Kiba yupi ambae hawezi kuandika article ndefu? Kwani unawafahamu kina Ali Kiba wangapi? Another thing; kilichoandikwa (whatever the length); kina mantiki au la? Kama hakina mantiki si bora utuambie makosa yaliyopo (kama unaweza)?

Two things (sina uhakika na hili wala nilivyoandika mwanzo):

  1. Aliendika kwenye kichwa cha bandiko “Msanii Ali Kiba…” most likely aliongezea neno “msanii”. Proof: Pascal Mayalla (tunamtambua kama mwandishi) akileta bandiko lake haanzi au haandiki “Mwandishi Pascal Mayalla”. Kuongeza kazi yake inakuwa redundant. Sasa tutarajie Ali Kiba ajiandike “msanii” akiandika article yake? Ali Kiba inatosha kutambulisha mwandishi ni nani.
  2. Kutokana na (1) hapo juu, Ali Kiba anaweza asiwe au akawa huyo msanii anaejadiliwa hapa.

Good question.

  1. Je unawajua Ali Kiba wote wanaopatikana hapa ulimwenguni?
  2. Usijitoe fahamu na kujifanya una akili Sana, pa kusifia toa sifa.Hili andishi limetulia hata kama ni refu.
    Mbona wewe hujawi kuandika kitu chochote chenye mantiki pamoja na kujifanya ni Mwanasheria (Uchwara)?

Nadhani anaweza kuwa hata Joseph Warioba ila katumia jina la Ali Kiba ili kuleta mvuto wa kusoma ujumbe huo bila ya yeye kutambulika. Nimetoa mfano tuu wa mzee Warioba lakini maana yake ni kuwa ni watu wa ndani wanao jua uvunjifu huo wa katiba na hawataki yawatokee ya kuwatokea

We unamzungumzia Ali Kiba yupi?