habari zenu wakuu, poleni kwa kuwa ukimbizini,
pamoja na kuwa ukimbizini lakini tupeane mbinu za kutoka hapa tulipo jamani, najua kushindwa ni kuacha kupigana sio kubadilisha mbinu. kwa hapa nimepigana na kubadilisha mbinu mpaka basi. sasa kwa wale waliofanikiwa kutoka tanzania na kujishika nchi nyingine please tupeane mbinu na maarifa ya namna ya kutoka hapa Tanzania. pia ni nchi gani ina wepesi walau kidogo wa upatikanaji wa riziki . ??
mkuu tanzania umeimaliza?
Tanzania hii yenye viwanda kila mkoa visivyopungua 100+ na uchumi unaokuwa kwa kasi unataka kuikimbia?
mkuu acha tu nchi hii imenifanyia umafia kwenye biashara sina hata hamu, TRA kila siku wako mlangoni, wakala wa vipimo kila wakati eti wanakagua mizani, wamefunga ofisi , na nyingine zimevunja kupisha barabara
Pole sana mkuu
asante
Ndugu yangu Pole sana Mungu atasaidia
Duh! Unataka ujilipulie wapi sasa, Somalia au Syria?..
Ingia hapo kibera labda unaweza pata zali la ukimbizi somalia huko.
Aisee