Msaada Naomba Kujuzwa Jinsi ya kutumia Jamiiforum latest version

Habari zenu waungwana, Sina mengi bali naomba kufahamishwa namna ya kutumia Jamiiforum toleo hili jipya maana naona linanishinda.

Ipo hivii nikifungua application ya jamiiforum as guest inaleta nyuzi zote, tatizo niki log in nyuzi zote zinapotea, nimejaribu kutafuta kwenye mipangilio (Setting) sijaona chochote hivyo naomba msaada Wa maelekezo nami nipate kufurahia app hii.

Msaada Tafadhali.

Ukijiandikisha kwa utambulisho wa sahihii kila kitu kitafunguka…

Cc: @Mahondaw

Kitambulisho cha Taifa unacho?

Sio Kwako Tu Ni kwa wote uki log out zinarudi Si ndio Bwana??? Ucwaze kabisaa