Msaada katika Screen painting kwa wale wachoraji

Nauliza kuna tofauti gani kati ya photo emulsion na emulsion ya kawaida ? Halafu kuna kitu inaitwa DIAZO POWDER SENSITIZER ni nini hii kitu…Thanks in advance