Mrembo wng huyu, From 254.

Habari, KenyaTalk.?

Nafurahi kuwa hapa, ku-socialize kidogo na watu wa kenya.

Three years ago I met a gal in Nairobi, named Marianne. She was very beautiful and I Loved her, very much.

She was a student of a certain college there in Nairobi, we met and she told me the whole story abt her life, every thing.!

Story yake haikuwa nzuri sana, aliishi maisha ya tabu, alisoma kwa tabu. Hakuwa na ndugu hapo Nairobi she used to live with a female friend. Wazazi wake wallishi mbali sana kutokea nairobi.

Her Father was murdered by his brothers, the issue was land. After the death of her father, her mother took Maria to her grandma and left her there.

To cut long story short, bada yamazungumzo ya muda mrefu, We became friends na haikuchukua muda we got into a very serious relationship.

We stayed at my place kipindi chote yupo college, we where happy.

As the days go by, Nilijiapiza kurudi na Marrianne Tanzania! Haikuwaa hivyo.

Life was very beautiful until the day I had to choose ONE from TWO things very important in my life.

I left everything I had with her, then I left to Norway.

Kwa hasira, She blocked me every where, I havent heard anything from her since the day I left.

Am so sorry I had to let you go, Marianne.

Hope you are doing fine.

Eward.

sasa hii story inatusaidiaje? ukiwachwa, wachika

Ignored

sasa tufanye nini hapa? story yako ni vague na key details…au ni vile ni hypothetical?

Chunga sana mwanamke anakuanzia na hizo story za “woe is me”.

Namtafuta Marianne,

Her story was real, wasiwasi wangu I broke her heart.

Hakuniacha, sikupanga kumwacha pia.

Mariane njoo kwa Yesu bado anakupenda.

Kunguru hafugiki. Ama namna gani my frens?? Labda ukamtafute kwa ozone layer. Mbaff!!!

Sijasoma hio upus but mbicha Inge saidia umbwa ghassia takataka saitan

Pambana na hali yako

Sasa matusi ya nini hapa.? Kama hujasoma pita kimyakimya, si lazima kukoment.

Wamtafutia nini sasa? Umechoka na wazungu?

U

Hio tu?
@pseudonym kuja

Sijasoma but kama ni mtoto wako we lea tu

Upuss

Pole, lakini continue lefting

Kujia chupi zako mpenzi :rolleyes: