Mr. Riwe Riwaro amekosa nyama sasa anauza matubo

Lmfaooo mseh alikunywa pesa yote ya stock jana. Kuamuka asubuhi akagundua hana nyaguss na pesa ni less. Alikimbiza kinyabis kwa dealer wake wa nyama amkopeshe lakini akanyimwa juu ana madeni mingi. Dealer akamuonea huruma juu ni easter akampea matumbo ya deni ajisort.
[ATTACH=full]234414[/ATTACH]
Fala imekausha mdomo inje ya kibanda akingoja customer but wanalenga shop yake juu no one eats matumbo on a holiday. …kila mtu anataka nyamchom.

Mseh imebidii achomeke Leo aende hasara. Lmfaooooo

@Panyaste walai bilai Ile mahali mtapatana na mighty riwe riwaro @Motokubwa hapata mea nyasi.

[ATTACH=full]234415[/ATTACH]

@Panyaste kuja uone lips parara,mtu wa ocha ihivi:D:D:D:D:D

Mungu anakuona midget:D:D:D

:D:D:D:D:D

Dude, wakikuyu walikufanyia nini?

Na hizi picha funny unatoaga wapi Shoga hii?