heka ya kwanza nikiwa mtoi kuna vitu nilifanya na jeshi ya home,saa hii nikifikiria naona tulikuwa wazimu
apart from ile heka nilipeana apa tulikuwa tunakamua banana tree tunachimba shimo then mpaa akadai konokono iwekwe ndani ndio ikuwe slippery kama ikuss:D
bado kuna vituko zingine tulifanya crazy
nilisomea primo inaitwa kamuiru primary school apo opposite ya gate kulikuwa na shop ilikuwa inaitwa haa waMONI.
so mtu akiwa na 1 bob ama 5 bob ulikuwa una sneak mbio unabuy peremende ama kagumu, shida ni uonekane na mwalimu
saa mimi kama kawaida on a friday nika-sneak nikaenda Haa wamoni nikabuy kagumu kurudi mrs kahoro akaniona
akani -itaa na kuchukuwa kangumu yangu na kunishow l knee down, na akaenda stuffroom
sasa mabeste walikuwa wananicheki wengine wakinicheka…
Timo nini mbaya?
sparta…atare kahoro uu-gui KEINO yeye
maboy wakahepa…
kumbe mr kahoro alikuwa tu area,aliskia nikimuita Keino…
nikaulizwa ati umesema nini? nikanyamaza
nika amshwa na slap on the face
dragged hadi stuffroom…nika ambiwa piga magoti
rudia chenye umesema
apo sparta amefura kaa fucking siwezi ongea…
nikatandikwa makofi tena, nika anza kujifanya nalia lakini hakuna machozi inatoka
mwalimu moja akauliza nini uyu kijana amefanya… kahoro akaniangalia
sema chenye umeambia marafiki wako…
nikanyamaza…nikalishwa chini nikawekelewa viboko…kwa lower thighs nikafura ile mbaya
apo ndio nilisnap nikaitanaaa GUUUUUUUI ENOOOOO,GUUUUUUI ENO
walimu wote wakashangaaa…kahoro akanipiga swipper nikanguka tena, lakini mimi bado na fight na miguu
other male teachers wakanishika l was still fighting…talking greeek nikitukanana mbaya…
ile chance nilipataa nikachomoka mbio outside stuffroom …nikakimbia towards the field hadi kwa fence nikaruka…nikaelekea home nikilia kama mtoi wa KG1
Napatana na watu wananiuliza nini mbaya, nikilio tu kama fala
niki-ingia njia ya home ndio uyo cucu amebeba kuni akaniuliza nini mbaya
nikamshow nimechapwa na mr.kahoro…
cucu akadai hebu turudi saa hii,namshow wacha tutaenda kesho akadai apana saa hii turudi
mimi uyo na cucu hadi kamuiru …kufika apo kwa gate akaona wamoni akaulizwa
nikee cucu wa timo warakara uguo
cucu…ataree ngoma ici cirahura muthuri wakwa{kunanioo:p)
kuingia gate mimi bado naogopa slaps za kahoro, cucu naye ni nani amenishika mkono
hadi stuffroom …ali ingia amewaka moto…kahoro hakuwa alikuwa class…
principle akajaribu kuongea na yeye…akasema sijakuja juu yako natafuta kahoro
principal naye ni mbwa akanituma niende nichukuwe kahoro ile class anafunza
kuenda kubisha kahoro almost slapped me, nikamshow anaitwa na principal
the maafakaa akasema atakuja after lesson
mimi uyo nikarudisha ujumbe,…cucu naye nawazimu yake akamuendea hadi class alikuwa
kahoro tried to reason with her lakini wapi, kofi ilitembea na kahoro think aliumwa mkono
long story short, chief karomo ali itwa to settle the dispute… two policemen escorted cucu hadi kihara police station,
halafu karomo being a family friend akampleka hadi home.
monday kuenda shule nilipewa tupunishment kuosha stairs na iyo story ikaisha ivo, thou watoto waliongea for a whole term
mr. kahoro beef na mimi hakumaliza
eventually kahoro transfered to gachie primary school na akapeleka iyo upuzi uko ya kuchapa watu maslaps…maboy wa gachie primo wakamvamia usiku moja na kumpatia beating hadi akavunjika mkono…
sasa naye sparta akiwa form 1 akapatana na kahoro njia za gathima tukiwa na akina gojo na sothisto, nikashow maboys wanisaidiye kutandika uyu mzae
geng geng ikaniskia kwa corner ndio tulichapa ambush Gojo alipiga tisa mimi na sothisto kukanyagaa iyo nyangau na ngumi kwa mdomo na kuitoa trouser na kuhepa mbio… tulichange root for a few weeks
pole kahoro nugu hii