Mr. Boombastic

Will never get old.

Freestyle throwback

Hii nayo ilini nice kweli kweli. Marsha’s voice ilikuwa pale yuu and whenever I heard the song ilikuwa inanipleka cloud number tisa

Shaggy alikuwa mnoma manze