Ngoja usikie rumours
Kuna walevi watafungiwa store mpaka hio 4am walipe bill, kesho kuna Euro’s finals starting at 10pm so we shall be in a pub mpaka 12.30 earliest
Hii system wacha to ikuwe busy mimi ni mtu ya cash, choo na bhangi unalipiaga cash si mpesa