Mpesa Tu

45,060 points and the only ‘prize’ I have won is credit worth 16/-
This is a joke on mbirrionaires like me.
#Safcon.

those are sports.

…Munene, yaani hata wewe [SIZE=2](insert Kansiime accent)[/SIZE], you had invested in Mpesa Tu?. Enyewe hustling is real.

Sports au mockery?

Nilikuta wameniweka Kwa hii promoshen yao.

Wacha maoneo. Mtu anaingizwa kwa competition, halafu wanakwambia u- dial u-redeem only kupata 8 bob kama beggar. Madharau!

45060 ni kusema umetransact 450k thru mpesa from 18th June, right? Nyinyi ndio mnatajirisha safaricom

Iyo upus ikianza kuna time nilihit 4500 points nikapata text ati “you’ve received a surprise gift, press blablablabla# to redeem your gift.” Nikapress mbio mbio nikidhania ni kitu ya uzito, alafu napata 10MB of data…[SIZE=7]10 MB!!! [/SIZE][SIZE=4]Hiyo kwa network ya safaricom unaeza fanyia nini? Unareceive hivi alafu 2 seconds later unaambiwa “dear customer, your data bundle is finished…”, plus niko on wifi 24-7, hiyo 10mb napeleka wapi? Siku-waste time yangu kuredeem umeffi.[/SIZE]

Hehe, kumbe these thousands of points mean s**t? Nilikua naona nikishinda apartment kile:D

Kwanza Hata bonga points Ati ni 30 cts. Washenzi.

Point moja?

Simple me naenda kubuy hizo mbloti maguta maguta na bei ya siki za mwisho tena direct kwa manager wa safcon… Ile ya keja pale kwa gazeti la nation aisee asaaa asee mwanzo wa kuchanuliwa

Yep

Vile Chifu amesema hapa juu,
If transactions worth 450k are awarded like 16 Baab, ni ngapi unafaa utransact to stand a chance of winning that apartment?

80k na bado wananiambia sijafikisha target. Bullshit. Nilimark hio namba yao as spam

#Mbirrionairetingz.
Most talkers can relate.

Waliniambia I have a surprise gift kufungua ni 8 bob airtime! 8bob??? Mbwa wao

Mimi nilipata 8 Bob valid till midnight nikacheka kwanza… One of the most useless promotions by safaricon…

It puzzles how this thing works. A neighbour received 100 kshs cash prize yet they had like 600 points. Mimi na my tens of thousads points hata matusi sijapata. Ama in ya peasants pekee.

Read bahati nasibu