Mpesa Number Retrieval

Hamjambo wakuu…Saidieni new villager hapa…Kuna vile nataka number kutoka Mpesa statement, one sent money in 2019 August na nilitumia pesa Feb 2020.nikaenda kwa safaricom shop kutoa statement nipate number lakini inatoka na number zingine Hakuna, kuuliza nikaambiwa unless niende kwa DCI…na nahitaji hizo namba sana sana.Nitasaidikaje.
The other option sijui kama nitasaidika mayo,would be someone anisaide kuretrieve emails za September 2019 na March 2020 ju zina hizo mpesa statement…shida sasa sijui kama zitakuja na hizo number full.

What happened to your emails?

I can’t see them…na sio mimi nilifuta…mimi mambo na technology kiasi Hua nje.

Enter the search term in the search bar.

M-PESA Statement for 254********* for period 01 Sep 2019

and

M-PESA Statement for 254********* for period 01 Mar 2020

Replace the * with your number so that it reads 254722123456.

Out of luck man…

If it is your own line, you should get the statements without any stress… I cannot see the reason why they would want you to go to the DCI… I think in your case, that line is not registered under your name… I have done that many times because of KRA audits…