Wenye magari na biashara…mtakamuliwa
[ATTACH=full]90937[/ATTACH]
Kuna siku nilibuy hio licence kulipa ilikua shida tunugu unatupigia simu hawakuambii unafaa kulipa kwa bank totally uncooperative sijui kama hii upus itarudi tena
Kulipa itakuwa through paybill…sasa shida hata itakuwa harassment. Wakipata unaskiza ngoma kwa gari yako na hauna iyo license utaitana coz they must collect those royalties.
kwani wameanza kusumbua private vehicles, sasa pia unafaa kununua license ya kupewa hewa kwa nyumba?
These are just avenues to fleece us SHAIT
Wakipata umeweka gari yako hewa kali wanakusumbua
Hata mats zinalipia hii
I dont think za githurai zaweza kubali kulipa,they are just too unruly. You should see howthose buses speed kwa hio highway play loud music and crazy conductors swinging na chuma za mlango na Mat iko 120kph
Hawa watu ni washenzi sana.kuna Siku walibeba system yangu Kwa kinyozi.
pia watachukua ka-redio ya mama mboga?
Watatii kaka…their unit usually has high ranking police officers…same as kecobo
It seems like hadi ku-stream ngoma on youtube ofisini itakua shida
Public places, not private
Ukiweka event na kuwe na ngoma pia unalipia
and you wonder why local music isn’t growing
Usually anti-stock Theft unit and GSU who have served over 12 years and are eligible for general duties.