Moving Out

Niaje wadau, venye mlihama mara ya kwanza mlikuwa age gani na rent na basic life essentials zililuwa expensive ama cheap? Niko curious kusikia stories zenu.

Wewe ishi maisha yako vile imekuja sasa unataka kujua ndio ikusaidie aje?

Unapeana aje mawaidha na niko juu ya mamako? Huna ata huruma jameni? Si usimame kwa gate uchungulie ukiona budako anakuja upige mbinja asipatikane?

If you’re talking about moving out of parents house, usipewe pressure, maisha ngumu. Kama mzazi hajafukuza wewe kaa huko.

Talking about kuwa juu ya mama , am disappointed with mama pima Malaya mama @uwesmake . She hasn’t shaved that ikuss plus hajui kubrush Meno . Meno inanuka busaa banae

Sina ubaya buda, info labda inaeza saidia wengine na mimi pia

Hii ndo culprit inabakisha nywele za makende kwa sabuni ya familia?

Kama uko na option ya kurudi home kikiumana; then just go out there and find out for yourself. It’s much more adventurous like that. Then you’ll have a story to tell. Otherwise jipange proper kwanza … maisha ni ngumu uko nje. Don’t take it from me tho’ … I wouldn’t know much better. Technically … I never moved out, part from when I was away studying. Maisha ya ku rent sielewi vizuri.

It’s a good experience. Jaribu kaka. Na hakunanga kurudi nyuma once ume taste hio life ya kuwa solo and in charge huwezi rudi nyuma. Kufanya nini?

Nili tahiri nikiwa 8yrs kama ninaishi solo uko nyumba ya vijana kando. (Esaiga)
Usiku ma Safari ants znaninyeshea kutoka juu ya roof. Nina deal nazo na Moshi ya tyre solo. Something all of you today kids won’t pull.

Sucks to be you bro … no offence intended.

Kwani he shares the same mum na @Zush?

Binafsi namshukuru Mola, hela haikua tatizo. Nilikua na umri wa miaka 20 nikiwa college.
If your little income can accommodate your entire expenditures na ubaki na little savings, ni kutamu Zaidi. Moderate Jezebel daughters coz if you don’t, your expenditures will be 10x more, utakopa hadi ndugu zako wa uzazi mmoja wakukane. Epuka their temporary heavenly lifestyle e.g decent bed breakfast, uncountable sex episodes from the living room to the kitchen, then to the bathroom then finally to the bedroom within 3 hours hadi unapigia boss to fake illness ndio usikatize mahaba.

Tahadhari Sana.

Halafu mateetee za mama @uwesmake zimeanguka na ziko flat kama barangeti ya Raymond.Ukizipepeta kama bedsheets zinatoa vumbi zimejaa anthrax na bird flu banae.

depends ako how old. under 23 ni sawa

I don’t think I will want your time machine

Enigma alihama akiwa 24,one month after kufanya exam paper ya mwisho pale campus.Home ilikua ngori,kuleta dem ilikua problem,privacy zero,step mama stima.Nilitafta one bedroomed extension flani across the city from home and paid one month rent and one month deposit,bought curtains,one carpet,a twin burner,three sufurias and three plates,three spoons and two plastic cups.
The earlier you move out the better.Being independent makes you be both career and street smart.You will be challenging yourself to always look for and get money so that you never go back home.Kuna sekshen ya brain haifungukangi kama unaishi kwa mzazi.You will never value money because unajua after all hauna stress ya rent food,utility bills etc.Tembea shopping centre bars za buru langata na South b upate squad ya over 35 to 45 year olds who have never moved out of home.They even fuck their chicks make them pregnant and get them to move in their bedrooms in their parents houses.Usiskie advise yoyote ati mzazi kama hajakufkuza usihame.If you do that hautawai hama na kukuwa independent.Chart your own path in life.Ya mzazi ni ya mzazi.Aki ku gift by way of inheritance well and good,but isikuwe ati that is what you depend on.The moment you don’t move out akili yako itashinda iko domiciled kwa achievements za mzazi.

Omogambi niaje

kukaa kwa mzazi na uko over 18 inakuangaa na inconviniences mob sana. huezi leta msichana lazima utime wakati mzazi hayuko, huezi kunywa pombe vile unataka, huezi kaa bila kupewa kazi ndogo ndogo za upuzi, hakuna tu amani na pia curfew za ujinga. kuna kale kafreedom mtu huwa nayo ukiwa pekee yako, freedom ya kufanya kitu unataka. ukiwa kwako unaeza amka uende hata uganda bila kuulizwa maswali mingi ama kujiexplain kila wakati.

:D:D:D hapanni kujipanga my frien, location pale unajenga keja yako. I had no problem bringing girls, jioninalafu asubuhi nafurusha.