Movies za Kifala sana

Sasa hii ni nini?

https://x.com/TheFigen_/status/1828103420261376192

2 Likes

Better than cobra squad

1 Like

Cobra squad ilikuwa upuzi sana.

Iko sawa kwani lazima ikuwe kama Hollywood.

2 Likes

Kama uliwatch Ramayan huwezi jam na upuzi za movie za akina panjeet, ushazoea!

1 Like

Huwa wana exergerate design ingine wacha tu…msee anapigana na jeshi ikona machine gun vita ya mkono hadi wana hepa

4 Likes

Hujawatch movie latest za Steven Seagal. Utaanza kudoubt intelligence yako.

4 Likes

Mujamaa Bado anatoa mamovie? :joy: kwa vita zake zote sijawahi ona amepatikana na ngumi angalau moja

3 Likes

Ametoa gani latest

Steven Seagal naye ni doggy sana. Same WhatsApp group na Bruce Willis and of late Denzel Washington.

1 Like

I’ve been binge watching all Die Hard movies and some from the 90s. Those were the shit!

Current movies are just full of agendas.

3 Likes

Movies have lost that ka taste…una watch unaboeka tu

1 Like

Wale watu huwatch action movie za kihindi lazima wako na kasoro flani.

1 Like

Heri akina Jason STATHAM na transporter zake although a decade or so down the line gen Alpha will view them the same way we view the likes of seagal :joy:

1 Like