Movie fiti ya weekend.

@uwesmake niliskia ukisema ati uko na netflix, ati wewe ndio sonko wa masonko hapa. Umeona hii?

Excellent acting. Highly recommended.

https://www.youtube.com/watch?v=TVQ9-XH3hc8

FYI :Rumuruti sidhani kuna faiba. Just saying. Kama umetoka hizo sides labda uibe torrent ndio uone. Just saying. Sijui kama stima imefika huko pia. Just saying.

Patricia ,locusts zinakula Baboo zako roomuruti

I watched it. Sio mbaya only it is the same old script.

Aiii hapana bwana. This was a proper script. That Danish actor really took the role to a new level. Kwanza pale nje ya convent venye alitoka ndani ya wolf.

Angel Has Fallen.

Moso bamboo is very hardy. It is much loved in China. If you love China you grow moso bamboo shoots and saprings.

I understand it is a giant bamboo na inapendwa na poisonous snakes sana. And I hear in Rumuruti there are snakes.

Nawaambia hio nugu haina akili hizi ndio kaiyafa ilienda kuplant kwa fence. SMMFH.

[ATTACH=full]284582[/ATTACH]

[ATTACH=full]284583[/ATTACH]

Woody Woody woodbecker

https://www.youtube.com/watch?v=Q4uIdPOpen8

Seedlings mtu anatoa wapi

Uliza kanda ya Rumuruti aka @Yunomi . He is the local expert on moso bamboo seeds, shoots and saplings.

[ATTACH=full]284624[/ATTACH]

https://www.youtube.com/watch?v=wk_19DT6y9Y

Hii ni ya zamani but utacheka yako yote.Rob schneider & Eddie griffin

Uncut Gems
just awesome

Hii Ni nini mboss ?

You probably didn’t appreciate the gist of the original Dracular movie.

What was the gist?