Motorola Razr 2019...Is it worth the hype?

I understand the nostalgia and the foldable design, but honestly, this thing has very uninspiring specs. This ghaseer will retail for $1500 (Shs 150k) in the US. Wangwana, hii ikifika huku Vumbistan si tutauziwa ata 300 sausands? Ni tuk tuk tutanunua ama simu? Acha tungoje wachinku waanze kutoa clones za $80 banaaaaa.

https://www.youtube.com/watch?v=-WCbItE5yl0

Hii wakenya watanunua banaa. Wanainchi weko na pesa banaa, nyinyi huwa munanunua upfront, why a good % ya watu wa mayuu hununua na payment plan. 24 months, na uko na contract. Around $70 per month (that’s only for the hand set).

Hakuna pesa iko huku. I doubt they will sell more than 100 handsets

Crazy price. But Motorola are generally not fond of over-pricing their products. So I will give them the benefit of doubt. Ingekua apple ama Samsung…

You can’t afford it, peasant.

I wouldn’t be surprised, to hear a given Gov’t institution ama count(y/ies) wamepitisha budget ya kununua Razor, for a certain group of people.

When all’s said and done, it’s just another android phone. Other than folding, what can it do that my $80 Huawei can’t?

Sungura na Zabibu.

Peasants proverbs kila mahali. Nyuzi zingine ni za kuskim through tu,kama haikuhusu fungua ya next:D

Boss, you’re a self-confessed peasant. Najua ni machungu ya kukosa kakitu Krisi ndio inakusumbua.

You too.
Mimi ni peasant na sina shida hii Christmas hata kidogo. Christmas yangu ya uPeasant imenitosha vizuri. Wewe ndiye unakaa uko na uchungu juu unakazana kuambia watu wako na pesa vile watazitumia. These are luxury products, ng’ombe ii. Yani products za kutupa pesa, wewe na Peasant mentality umekazana kuEvaluate utility.

Ukiendelea na hii ujinga we will kick you out of Peasant Guild tukushukishe cheo ukuwe chokoraa.

Waaa, sikua na ubaya. Naona umeamua kumwaga feelings. 2020 will be better in Jesus’ name.

Sio mbaya kuFeel something about anything, that’s normal. Humans have prospered because we can feel. Ata vile unaFeel juu ya hio simu mpaka ukaPost thread sio mbaya. Kitu mbaya ni ujinga. Wewe ni peasant mujinga. Hakuna kitu mbaya kama hiyo. :D:D

Haiya, pole. Nakemea mapepo ya njaa na umaskini maishani mwako katika kina la Yesu. It shall be well brother.

Kama hii maombi haijaondoa mashida zako mbona unataka kunidanganya mimi ndio itanisaidia. Sijawai ona peasant akiombea peasant mwenzake.

Sawa sawa, be strong. Whatever you’re going through, it shall pass. It’s always darkest before dawn.