This is to remind you all Mother’s day is around the corner. Personally this day should be much more hyped than Valentine’s. Mother is the only person hawezi kuangusha. Hata kama wewe ni mwizi, she will always have your back. When you’re broke, anaweza ku-support. Do something special this year.
Hii mambo ya kuweka wanawake wengine pedestal achia @lula da silva.
hebu nulize tu…kwani huyu @lula da silva alikula mbuzi ya nani?
hii mwaka mother’s day imekawia sana…last year ilikuwa karibu kila mwezi
This is one of those things all the women in the world have successfully conspired to cheat all men out of. Because we have no idea when it is, last year I swear mother’s day zilikuwa more than tatu.
@Gio, make me the meals on that day.
Kwani fathers don’t do those?
Zitaanzia na shot 7 minimum halafu tupike pamoja
Did you pick mukobero from Mulosi?
I highly doubt that mate
Alinikujia nazo pamoja na goat weed, jitayarishe
@kah tony will make @aviator scream. Meanwhile niko ofisi nawatch hii http://runthegauntlet.org/ level 7 ya @The.Black.Templar alituwekea hapa
Yani unacomplain
Kuna ile Meme inasemanga mwk Ana Samsung s7 na mama Ana kabambe imewekwa rubber band kushikilia battery.
Masangu Ana simu mbili. Alisema moja haiwezi download whatsapp (aki ya nani) nikanunua ingine.
Will you be my son?
@kah tony ninakuonea kwa 18 nitakunyamazisha kama @Ka-Buda na @Jirani jua the street aint meant for everyone that is why we have pavements,don’t provoke me.
Ni chuki tu,I just did some jicho pevu on someone,sasa they have poured some money to finish me.
Mtoi aniambie ninunulie mama yake kitu ya mothers’ day. Mathe ndiye huyo. Na usisahau ziko kama fefte kwa mwaka. Aii. Kila mtu angeambiwa afanye mothers ’ day yake moja asahau hiyo story
Ni nini umeona noma sana so far?
thnks bro for the reminder life imekuwa too busy ata kukumbuka ni shida…last tym i missd it nd my mum was not that happy about it…“haroo harroo furaje(francis) jana irikuwa mothers day na ata hukuniwish hape mothers day”…i felt it