Most Effective Roach Pesticide

I’m looking for the Most Effective Roach Pesticide available locally.

We have an infestation in some Apartments and I have tried quite number and they don’t seem to be very effective.

Recommendations please.

Lava

1 Like

Nyundo. Ama rungu.

Set the place on fire. Utamaliza hadi kunguni

Hapa ni kwako.

boric acid… non toxic na hautawai ona mende kwa nybmba tena

2 Likes

Kama kuna kitu nachukia na roho yangu yote ni MENDE. OP fanya vile @MTINGIZA_KITANDA amesema. Choma hizo vitu

Kunakuanga na hizi cockroaches that can fly. Fuck those creatures.

Kuna zingine niliona kwa choo ya ocha. Zinatokezea usiku. Those things are huge. Siku moja tulipigs dawa jioni kwa floor ya bafu. Next morning tulizipata zimelala kifo ya mende style.

1 Like

I used boric acid and i have never seen a cockroach in my house for past 10yrs.

Mse wa paipu niaje

Those are nasty banae.Zikifly zinakuanga na harufu ingine mbaya saidi.

Iko in powder form or liquid? Retail name??

its in Powder form

This paste works quite well, although huyu ni mchafu sana

Hizi na panya huaibisha mse sana. Unaweza kuwa wewe ni msafi but juu ya jirani mchafu unapata hizi pest zinatokea kwako.

Vouching for Boric Acid, cost effective (54/- carrefour) and works. Dust the hideouts and wait for a few days. You’ll never see them bugs again.

Pia Goliath Gel ni nomare but bei jo!