Moses Mpyaro wa Ruiru

https://x.com/reubenmuhindi/status/1702753629277499811?s=20

Duru za kuaminika zasema ameonekana Ruiru akitokwa na kajasho baridiiiiiii

Haka kamsee tulisoma nako high school. I’m always impressed by how much he has achieved despite the subtle bullying apo chuo

Yani Ata sitting position ya us ambassador confirmed we are indeed still a colony

1 Like

Moses kuria huongea nikama hajielewi… sentensi ya mwisho anaweka mwanzo, ya katikati anaweka mwisho sijui Jambasi aliona nini kwa huyu jamaa… no wonder we keep sinking deeper in into the abyss with these fcks on the helm.

Tuma za kabej

Alaa? Alikuwa fala ya aina gani chuo?