More paper

Congrats!

Wacha wewe, kuna time ulitupatia hekaya ya kunguru in your masters class
Sasa advice sisi, coz. it appears this is not your first rodeo on post grad. studies, which is better, masters ama professional papers?

Mizee tukutane starbucks

Huo sasa ni usoro:D

Dr. Gashwin

Saa hii Niko hill rock, county HQ, utafika na Niko in buying mood?

ngombe muzee nikuom ?

Leo sitoki sub county kwa Prof Muchiri si unajua kumefurika furi iko kijana wangu kapata taji pia lazima tumchinjia kambuzi kwanza

Ukikwama kagochi najua utapiga simu

Karibu sana. Gibleys haiwezi kosa. Uliza Njeri counter ya ndani umwambie “hadi kwa mkia” atakuleta kwangu.

Poa

:D:D:D:D:D:D hio password inaogopesha kuka

Hanyiti nimemwambia akauliza hiyo ni kusema mini?

Congrats jomba.

Congrats man. Leo nanyonya ka tusker mdogo mdogo. Si nitume iyo pay bill?

I bet you know how to spread on floors. Must be how you earned that certifiploma.

STILL GAY!

Kuaga creative kidogo saa ingine

Hapo amelasimisa kama mkisii kujaripu kusema mandisi kama mtaita. :eek:

She is trying too too hard.

ulifanyianga hio umbwa mkisii @Nefersyphilis nini anakukosea heshima daily ? nipe tender ni deal na yeye .

Congrats Dakitare