More pain for small hasoras

https://twitter.com/ahmedsalims/status/1704334406683414804?t=r-k-tFgh7oyETcW_uKyMPQ&s=19

Wale wa Nyamakima sasa wana a legit reason ya kulia kilio bila kulaumu mtu!!! Uhuru alikua ametengenezea hio group biashara lakini walikuwa hawaoni.

4 Likes

Mambo ni matatu:
Ulipe tax
Ufungwe jela, ama,
Usafirishwe mpaka river yala.

2 Likes

kuna third option…targeted acts of antigovernment violence. just saying… DCI apana kujia mimi na marijuana.

1 Like