Money Gone!

Leo nimetaka kutransfer money from my bank to mpesa. Pesa imesonga but kwa line yangu pesa haijafika.
Nimecall customercare hawashiki simu sasa elfu kumi imezama tu hivyo na mathe alikatisha funding.
Kwa bank statement naona hio transaction iko successfully. Kuenda kuwatusi X account yao haikubali messages

Bank gani hio bonoko. Sema jina

Call the bank kesho watasort iwe credited back, na isiwe bank ya ujinga kama Equity…inaonekana leo hakuna umaraya utachapa, enda pigsty ukalale.

2 Likes

Family bank, Imagine ningekuwa nimetoa suruali Airport.

Merry go around ya airport

2 Likes