Money buys happiness

Nikisikia mnasema money cant buy happiness nasikia kukasirika sana.

Kwa bucket list yangu nimepanga kujituma ndio after easter hio tarehe 22 ama 23rd apr nikue nimesave 5k.

Kuna premium hoe lazma nimkule na ameniambia anataka tu 5k for 2hours kule juja

2 Likes

Happiness has different levels, and sexual satisfaction alone doesn’t guarantee true happiness… it’s just one aspect.

Hio 5k save, next mo th save tena 5k. Mwaka ikiisha utakuwa hata na ka 50k. Tukupigie makofi.

Alafu ile story ya ni adopt ka siz kako ilienda aje. Ati kako 13? @Billy_Graham sitakufunza kutafuta bibi…

(Jokes… tu)

Real happiness is a deeper, lasting state of mind.
Is Ruto happy… pesa ameficha na kuma ziko kila place anadai but ile machungu akona nayo ni mingi, wakenya wanamchukia saidi. Heri adedi, wanaomba sana mungu.

Zidi ku save, weka target ina make sense kama kuanza kushika vitu za keja uhame kwa mathe. Aim kushika bed na mattress, cooker na telly na kiti hata two seater. Kuwa na goals za maana kama mwanaume.

My son ako 11 na ana save ashike PS4… seuz3 wewe uko 24? Do something na mbirrions unapata.

2 Likes

zikifika, ongeza zako ununua ps5

3 Likes

Nilikataa kuwashikia juu watashinda kwa nyumba na pia itawafanya mbuzi

1 Like

you set a rule for playtime hours. wacha upuss

3 Likes

… sio rahisi kaka, sahi niko job wako home. Nme wawacha wakiwa ma boys sita nkawaambia wakacheze nje. Nkawacha wamebebana wakienda na huko nje… sasa angekuwa na PS si wangeshinda kwa nyumba? Siijui kama wanacheza nje ama wameenda kwa ka boy kengine pia kako na ps4… kucheza nje ni balaa beluwa.

Actually leo nikitegea request nimepata kikundi ya maboyz wamechill.

Nikaitisha chai na chapo mbili kabla kaitane nichangamke.

So hao maboyz waliongelea venye wenzao walianza kama boda saaa hii wamebuy magari wamesonga.

Wengi ni pombe na milaya hadi kuna mwenye amelewa hadi anakunia damu familia yake inangoja kumzika tu

3 Likes

Wewe save doo, save mbirrions utazihitaji in future

haha do what makes you happy.Save and eat that hoe