Set a beautiful workmate amkatie. The guy itabidi aanze kujileta akiwa msafi. Hio ikishindikana, mnaeza mshtaki kwa Praying Mandis and his Prophetess Gwife amuombee.
In 2018, there’s a guy I called aside, nikamshow hebu come kuna kitu nataka uone. We went to a nearby supermarket, which fortunately was 3-5mins away.
Tulipofika kwa aisle ya roll-ons, hapo nikamshow (as politely and diplomatically as possible) that yenyewe ni kubaya leo, zimemrarukia mbaya and he gotta do something. I told him to take his pick and he could refund me later. He went to apply it kwa gents. Worked as expected, he refunded me later and the dude has never ever stunk in the office again. Bro code also entails that the matter has never been (and will never be) discussed in the office.
Umbwakni. Kama appointment yako haina kunusa watu makwapa as part of your responsibilities, fanya ile kitu uliandikwa kufanya, get paid na uende home. Nguvu ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu watu huwa wanatoa wapi?
Amazing how many people here seem to think that poor hygiene is a non-issue. OP find a way of politely telling your colleague that he smells bad and people are talking about it. Even an anonymous note is enough.
Shikana wanaume wote apo mshow separately, 3-4 of them wakimshow itabidi ajiekee question mark. Ikisumbua weka kwa letter in bold na umuekee kwa drawer in silent. Akikataa ambia hr, hygiene ni basics 101