monday blues

habari zenu.hapa tu ni kukula kwa masho kamrembo kengine kameletwa karibu na desk yangu. nkiangalia masaa.haisongi jo
mbisha ni wewe

[ATTACH=full]56053[/ATTACH]

11 Likes

pigeni mbicha kama navy seal na quadri signature pia lazima

1 Like

mbicha ama unangalia bingwa scrotum

3 Likes

[ATTACH=full]56062[/ATTACH]

Ha ha ha wacha ufala msee

1 Like

hahahaha.si mnataka mbisha.acha akiamka nimpege photo moja niwaletee

1 Like

dame ni mgani apo sasa…ama ni mkono yako ya left inakubamba…leo washa shineray nayo

2 Likes

Hapa ni kutoa lock na hinges. Apana tambua Monday meffi[ATTACH=full]56065[/ATTACH]

2 Likes

hio soda madiaba si ungenunua mkate nusu uteremshe nayo .

4 Likes

hahaha.acha izo wewe

hahahaha.mbona ujaambia msee poa

katechno hata kafichwe, uwess kosa kukatambua:)

1 Like

achana na mimi riddim man

1 Like

Tutaongeza io dose anko lichott

1 Like

Wekelea picha ya momo tusafishe macho! MEFFI

1 Like

WEWE NI BROKER? AMA UNAFANYIA INSURANCE GANI?
TUDANGANYE HIYO NI YAKO!!!

1 Like

haha.kaka hio macho yako ni kali.unezoom hadi ukaona premium.
leta biashara.am not broker but in the industry

:D:D:D:D:D bado iko na hio jina!

heh

hehehehehe sisemi kitu

1 Like