[ATTACH=full]21631[/ATTACH] [ATTACH=full]21632[/ATTACH]
Gavana wa kaunti ya Mombasa,Hassan Joho amemuomba rais Uhuru Kenyatta, kuingilia kati tatizo la msongamano wa magari katika eneo la Taru lililopo katikati mwa mji wa Mariakani na Voi, ambalo limekuwa likilemaza shughli za usafiri.
Aidha Hassan ameongeza kuwa wakati kama huu wa likizo ndefu, itakuwa vigumu kwa eneo la Pwani kupokea watalii wengi kutoka nchini na mataifa ya nje kama kawaida yake endapo changamoto hiyo haitakabiliwa kwa haraka.
Hatahivyo msongamano huo umesababisha uhaba wa chakula kufikia wakaazi wa Pwani kutoka maeneo ya bara kwa takriban wiki nzima sasa.
Nikiripoti toka kisiwani Mombasa ni mimi wako, Merrrrrrrrrrrriaaaaaa Mataaaaaaaaa
earlier today, hii corridor imekua balaa, before you get to Taru jam yaanza kibarani hadi mariakani, na hii nikitu ya daily. @Da Vinci uliona hii ya leo?
[ATTACH=full]21633[/ATTACH] [ATTACH=full]21634[/ATTACH] [ATTACH=full]21635[/ATTACH] [ATTACH=full]21636[/ATTACH] [ATTACH=full]21638[/ATTACH]
There was a dirt road passing through Tsavo inatokea Kilifi County, u know it? And the other junction that chomokas at Kwale but sijui mtu anaingilia wapi
Juzi wed nilienda mariakani. Between changamwe na mazeraas, i spent three hours na mimi ni mtu wa kata funua. Jana was at jomvu. Nilipita changamwe at 1pm nikafika jomvu saa tisa ma robo. Ni kubaya
Good of you @paparazzi! I suggest you make a full thread where anyone who knows a panya-route, a short cut, an easier way to drive, can tell us about it and maybe it could immensely help someone in a stuck!