[ATTACH=full]202851[/ATTACH]
Wapwani kuweni wapole. Sisi wabara hupanda chania kunguni bila kusumbua
i like the retort of the Ma3 owners, eti spray the pax, hehe, Joho ajaribu aone mo fire
Hata za Oyole tushaziozoea, karibu zitujue kwa jina
will be waiting for you at Mwembe Tayari with a pump next time ukiland hapa, hehe
Kwanza mat za Changamwe,Kwa Hola…no faya
Na tukisema weaves ni chafu wengine wanakasirika.
Kwanza @GeorgieMakena alishika nare ile siku
Bamburi mtambo chawa mingi sana
Upuuusuuu.
Zile za Port Reitz ndio zina chawa. Gari zinakaa boat.