Mombasa Tings R Thick

BBI inaleta machungu.

https://www.youtube.com/watch?v=ZN1-mWpZUes

Hehehe the games begin.

I said a while ago…kesho ndio BBI inazama ama kuamka.

Lakini naona imeanza kuzama mapema.

Utapeli wa Raila na Uhuru umeanza kujifichua

:meffi::meffi::meffi:

Wacha we see if they’ll kill each other in Tononoka tomorrow. The heat keeps getting turned up everyday.

Nani mwingine amekuja kuosha mecho akapata ni story ndefu hazina mwelekeo?

OH pole hii haina Aisha Jumwa.

Wembe ni Ile ile