Mombasa road.

Watu wa Mombasa road mtu akitaka kuenda Vision plaza kutoka Cabanas anabranch wapi?

Last time nilikuwa huko tulibranch side ya kuenda nextgen mall alafu tukakuja kushikanishia na pale parkside towers sasa vile express way imeekwa kuko aje saa hii?

Nyonga hapo airtel

Kazi ya interchange hapo Airtel ni gani

ndo nauliza express way ili interfere na interchange in any way?

No

Safi

Why do you need to branch when you are walking?

:D:D:D I like your joke bruh

Just use Google maps.