Mombasa Nimesija

Just past Mariakani, on board MCBC flight no. KCF… plying Malaba Mombasa route, having boarded in Nakuru, hii safari imekua ndefu having experienced a gridlock from Kikopey past Gilgil weighbridge, corrogation ya Taru na some ditwits kina Kazungu n Kahindis, who I suspect are 1st years at Maseno University or something. Wako na mdomo aje, wananyamaza tu wakilemewa na usingizi or when eating. Aaaargh!

mbisha ata kama ni ya Corrogation ya Taru. Na usiibe mbisha za meria mata.

1 Like

picha

Hope uko na 4be

1 Like

[ATTACH=full]24657[/ATTACH]

ndio hao machokosh wa mijikenda

1 Like

Naenda hotel yangu hapo Baxton Leisure lodge alaf tulocal twangu ni hiyo area ya Stadium, Mtwapa ama tao baadae. jihami na pesa ya kurudisha hand.

Karibu boss. Nax Ni home.

Si ungechukua vip uepukane na hizo shida za’ business class’:D:D

Nwey karibu, usijali Joto utazoea 2

Jam ya Taru iliisha? Utafika Monday.

Thanx bruh, nax side gani?

Next time sitarudia hiyo mistake.

Hakukuwa na jam leo. shida ni kukinyesha

Hakukuwa na jam leo. shida ni kukinyesha

Apo sawa…Msa nasija kesho…
Nikupate wapi nikushikie kamomo

Hiyo ilikuwa mtaa yangu a while back, theaz a Loco inaitwa savanna iko safi sana

mombasa is overrated.
how do you people adapt to the steep change in heat gradient?

1 Like

mimi nilifika jana. Sahii niko mangweni huku mishomoroni

Vidze tsawe:)

1 Like

Msa raha:cool::cool: