[ATTACH=full]112508[/ATTACH] @Kasighau@Yollo@kingolonde@jumabekavu@paparazzi@MISCHIEF na talkers wote wako 001 kesho tukutane Nyali beach tuskize hawa viongozi.
baadaye Jug Daniels will flow like the high tide we have been experiencing.
Wale wamealikwa ni
Joho
Shahbal
Awiti
Omar
i got a gut feeling kuna myamaa mmoja hatatokelezea.
Shabal end game yake ni ku replace Balala ndio anataka awe Jubilee arab pointman in Mombasa…lakini Najib Balala ahamsoma kwa mbali…unampiga vita mbaya kichinini…akicheza bendera itaenda