Modern marriage advice cheat with a man wealthier than your husband

So if you are cheating with a better person than your husband it’s not cheating its upgrading.

Copied

Wangu alikua hivi 8years back at first alikua active ile mbaya mpaka ata chakula ilikua inaungua nikipeana mzigo ghafla bin vuu kama mvua jangwani akawa kila siku amechoka nilikua nalia ile mbaya hakutake it serious nikapata walimu walio hitimu kwa mambo ya mapenzi nikafundishwa my friend icheated him kutoka hio miaka yote mpaka mwaka Jana November ndo niliamua kuchanga juzi I confess to him juu ata yeye alicheat on me na akanambia wee yangu ilimuuma juu hakuamini miaka nane yote napeana mzigo Inje alitoka Inje kwanza kupata upepo mwanana mimi nae ndani niko na biblia naomba maombi yangu ya mwisho juu sijui angenifanya nini but kitu ilimvunja makali I cheated him na mtu na pesa zake magari yametulia kwake fuuny enough anamjua hakuamini na maisha inasonga itold him to choose atabaki na mimi au anisamehe na to move on of which hakuna mwanaume anaweza kukuwacha kama ume mcheat na mtu mwenye pesa juu anajua that man can manage you but ngoja u m cheat na mtu hoe hae ha haile matusi utatukanwa ata shetani hataweza kukutetea unafukuzwa kama mbwa sai ni yeye na Bible

I better live alone kama hii ndio ndoa

Hii ndio ndoa.