Modern Farming

then the photographer said, "sema ngwaci’’
[ATTACH=full]169699[/ATTACH]

Ngwaci

Hii hata ukiwa na brand new Nissan patrol V8 huwezi toboa…atoe tu blanketi alale

Na pia kuna Nissan Sunny in the background bado inangangana

Kujiamini

Hii labda upite na zile excavator za NYS huitwa SANY.

Probox itapita hapo rahisi sana

Hapa Land Cruiser inaweza?

apa ni gumboots tu itatoboa

Inataka zile rig za drc

Dmax inapita.

Ile iko na winch

:D:D:D

Solution ni kuvutwa because gari inashikwa chini

haiwes,hakuna kitu inatoboa hapa.

naona we ni mwenjeji

Kwanza ikiwa na muguka…

Kiangazi ndio itamsaidia tu.

If you have no business in areas where the roads aren’t compacted in this rainy season kindly keep off to avoid this kind of mess.[ATTACH=full]169743[/ATTACH]

If tarmac is too expensive why can’t they grade those roads with gravel instead?

Hapo land rover na winch itatoboa