1 Like
@Ndindu mbona FIFA hawajatoa game Yao ya footah kwa PS5. EA sports walikanyaga hao kichwa.
License ilienda. Now it’s EA soccer.
1 Like
Hii napiga magoti nyuma yake and you know what I do next
Hii ni confusing sana.
Explanation
-
Black lady alikuja na mtoto mmoja na akazalishwa huyo mwingine na huyu Mexican.
-
Newly wed anakuja na mtoto mmoja
-
Husband anakuja na mtoto mmoja
-
Na sidechick Hana mtoto
2 Likes
Lazima the mexican akona mbirrions excess.
Lakini mbona mtoi wa black wanatoshana na the Latina kid are they the opposite of fraternal twins