Modem cracking

Hello K talkers mnisaidie hapa. Nataka kukcrack Saf modem ikubali all lines who can help me out… Nmetafta Google YouTube no help hizo post napata ni za modem ya kitambo… Mnisaidie…

3 Likes

Kama ni E303 pole

2 Likes

What of airtel ZTE?

Nataka mnisaidie mnapost zenu…, ya saf the new one plz

3 Likes

kwani i kenya mzima hakuna mtu ameweza kucrack io kitu

shida ya modem zingine mpya ni ati hauwezi ukainput unlock code na modem writer inasema error kila wakati then unakuwa blocked after 10 tries

1 Like

@snapdragon ako wapi ye ndo huwa na majibu ya maswali yote ya tech

4 Likes

Io kitu sija ona unless kina @highschooler wakuje wasaidie

1 Like

iyo hufunguka kama lock ya mlango,

1 Like

kama haifunguki na Huawei Code writer or D crap modem unlocker hio ni stress tupa.

303 inafunguka na Dcrap online from their servers (na sio bure)

1 Like

inbox me details… tafadhali

sete nitafute

1 Like

btw pia nikona hio model

sasa mumesema haiwezi

Niko na DC unlocker yenye nimecrack iko na unlimited credits ongea na mimi vizuri

Hhhaha!! nani asema haiwezi. na yangu kani ni shetani ndo alinifanyia!! ni inbox fb Ras Moatz

Hakuna kitu hufanyagi…i smell a rat here

1 Like

a big one at that!!

:D:D:D:D

What about a universal modem that accepts all sim cards. How much does it go for?

depends ni gani
speeds
make
etc

1 Like