Mobius Motors

Whatever happened to Mobius motors? They seem to be missing in the news ever since they started serial production on the Mobius 1.

Anyone with inside scoop?

Nimeona moja kwa road leo. Plus wako na website, labda unaweza enquire huko.

I think the govt should buy like 20 of them for tryzex. that will give them a boost and some motisha ya kuendelea.

2 Likes

that thing unaeza nyeshewa sana plus ua goods aint safe donknw what i wud buy one for

Kupeleka kahawa factory.

na spares

Rhino charge tu

Siwesss ingia hiyo gari hadi wakati itapata approval ya Intentional standards. Hii gari ata ikona airbag?

1 Like

Ngoja ujipate na hiyo ujinga hapo University way wakati akina Deorro wanarusha mawe. Utatoka nduthe uiache hapo.

3 Likes

Unless hujawai panda matatu maishani mwako…hata nazo hazina any standards…Ni mobius ikiwa na mabati extra na vioo…

Kuna vile hio utatoboa nayo juu inakaa kupenya offroad, na utaruka mitaro nayo, while wale wa Benz wanatafuta venye wata-reverse gari zao

mobius was designed to be a farmer’s vehicle not a luxury vehicle

1 Like

they must be doing something right if they can afford an office at sameer park

wacky idea.the way to go is small fancy cars like vitz passo note

hakuna feeling mbaya kama kukaa traffic in a vitz alafu kando yako kuna scania mbele ni basi ya githu nyuma ni actross na pande hiyo ingine ni monster ya takataka mtu hufeel ni kama ako kwa shimo

5 Likes

This is the great idea. I really hope these guys succeed. For people hauling ndizi & bags of maize this thing is very practical.

Mobius owners should get in bed with a parastatal or county governments and they will be in business for real. Personally, I’d rather get a new Mobius than a 9 year old Ex-Japan.