Mnazoesha hawa lanye vibaya

Wadau leo nimetoka fedha kutafuta some balls alignment.

Kufika tu hivi. I kid you not the chic asks for mzinga

Nikabuy snap ile ya 250 kshs baridi kutuliza thinking it would be cheaper. She took like 4 gulps and orderes another two. Buda!!! Thats like 750kshs gon in a flash

“Kwani where did u park ur moti” She asks… Moti gani? Na hapo nilifika na nduthi. The ride costed me 300kshs

“Btw tunaenda wapi? U know i dont host” she said. Good thing i knew a guest room pale baraka estate ukipita makutini straight. 1k guest room + 200 kshs ya nduthi.

Tukapiga shughuli nikampa thao… she still asked for a tip nikaongeza 200 kshs

Now thats 750 drinks+ 1k guest house + 1200 lanye plus tip + 100 cd + 500 transport = 3550 kshs!!!

Sasa elders niambie tu ukweli how many kenyans have made 3550 leo. Kuna watu ata 500 bob hawajapata. Which is the majority. Waiting for salary mwisho ya mwezi.

Ama @Gaines mwenye hutegea pocket money from mummy

13 Likes

@cortedivoire is always right, bei ni 150/.

5 Likes

Ungenyonga usave hiyo pesa kama inakuuma sana.

13 Likes

Hizo ni leather jacket mbili each 1500.

Na 500 ya socks pair 10 pale gikomba.

Utreck hadi tao then 50 bob ya mat hadi chokaa

7 Likes

I think you have a fetish for ugly lanyez…hujawahi post any Lanye sura attractive.Gongwa na PNC bila kusumbua kijiji

6 Likes

5126dd21f9b3ae4d6c011cb66df07685_w200

Najua ushamtext tiktok but ok

4 Likes

Moral of this sad story: Invest in the following niches.

  • Condom manufacturing
  • Transportation
  • Cheap lodgings
  • Club/bar/wines and spirits

Umalaya is a billion dollar industry. Clearly, from this post, its not just prostitutes who benefit from that industry. In fact, I would argue that the main beneficiaries wa umalaya hukuwa wenye lodging na wenye bar/club.

11 Likes

Hii kitu umechapa and looks sickly

7 Likes

Post sistako tucompare

6 Likes

Kitu swafi bro. Hapa ata 5k na spend

1 Like

Luwerekhulangwa @Ndovu Luwere luwereee

Umesahau nduthi ya bolt asitumie app. Direct calls ndio umek pesa

1 Like

Certified mbirrionaire.

Mimi sasa niko mbaya zaidi itabidi nimeuza :radio: radio ya mine

3 Likes

Umepima na macho?

1 Like

Next time nitumie namba ya msee wa nduthi nilipe

1 Like

hahaha, the things young people go through, after adai moti bado alikubali nduthi

For real mkuu?

Kaka ndovu siku hizi naona unajengwa fiti kimfuko…kama unatoboka 3550 katikati ya mwezi mambo iko sawa sawa

1 Like

Hizo nostrils zingekua zinaangalia juu huyu angekua amedrown ikinyesha

1 Like

Maze iliuma.

Just had to watch that cow finish drink my expensive whiskey.

Plus nilikua na kiuu nilikua nataka kumumunya but the entitled mbish didnt even pour me a glass

6 Likes