Mnawaste pesa mingi kwa pombe

https://vm.tiktok.com/ZMF2WadYd/

Niko sure watu wengi huenda hizi events ni salarymen and women kazi ni sherehe with no investments and saving.

Halafu ukute ni makali ya Kariobangi.

Hii Nairobi ukifuata crowds utapotea Kuna watu wameishi huku miaka 10 na hakuna kitu wakonayo ya kuonyesha.

Miaka kumi ni kidogo…na shida ya wengi ni venye uyo jamaa wa ngeta amesema apo juu…pombe

I don’t spend more than 1500 in a club… I don’t have drinking buddies too. Na mimi hukunywa tusker pekee

I’m sure you spend more than 1500 kwa malaya za SJ

Never started and never will…So help me God

Nice…tuko pamoja

Kwanza hiyo Gilbeys.

Si lazima kila mtu abembeleze mzinga ya Ballantines for one month.

Kama wewe sio dynasty kaa mbali na pombe. Na ukikunywa be disciplined.

Pombe hutaka discipline na kujielewa. If you earn peanuts (30k) utumie 10k kwa pombe hauna akili. If you earn 500k and spend 20k on alcohol it wont hurt you. PERSPECTIVE

H

Apa no kama tuko pamoja. In other news, I am visiting a far flung hardship county. As I was talking with an uncle akaniambia he has a cousin who he last saw in 1973. The guy later got a job but walikosana na boss wake in the ministry, to discipline him, the boss dispatched him to this corner of the earth… Circa 1985. The guy hajawahi rudi home, he has seen the place develop, have it’s first tarmac road and cabro… He retired 5yrs back na cha kushangaza hana kakitu… only his house. Watu wake wamemwambia arudi nyumbani but the guilt and maybe shame can’t allow…

You should drink the Brand you like. Hizo hapo, sipendi. For me JD tastes horrible. I have seen mtu anakunja uzo anakunywa kitu apendi. Sijui kama ni Peer pressure ama nini ni?

…well said mkuu…

30k salo labda mtu akunywe keg pekee.

Wacheni nimumunye na kupatia mwili pole…enjoying my utamaduni day… @MTINGIZA KITANDA!!! …kujia[ATTACH=full]471081[/ATTACH]

Sio lazima pia unaweza kuwa mwizi kama uyu jamaa ana chocha apa

Kunywa pombe kama huna anayekudai rent kila tarehe tano

Who knows? May be I spend more on your mother’s overused v@g!na…hua huchoki kunitaja kila siku na sinanga time yako ubwa

@Mzee Mashavu …this guy @Dzunza ana umama mingi sana…always mouthy/curious and inquisitive on matters he doesn’t know well, …Mwanamume kamili knows when to use his mouth and words wisely …bonobo yeye, akiwa na ubwa ingine known as @GeorgeeBestt
“discretion is the better part of valour”