Mazishi expensive inakuanga ya peasants only…if I get cancer I will take painkillers only,if I die, cremate me…wacha familia ibaki in peace bila expenses…
Unatuma ma hutumi? Niko mbaya saidi. Sema niweke namba ya barman inbox umtumie kakitu…
Guka kunywa pombe kabisa, u will not see 2030
Kumbe ni kweli mtu akiseeka anarudi utoto.
Sasa mnabishana na ule @digi kupist meffi
Sawa. Niweke paybill utume ya Johnny Walker Blue Label King George V? I know this is not too much to ask…
Hehehe wewe baki kwa WhiteKAPS
Ujinga yako ni ya kuzaliwa ama nini? Who said an older gentleman cannot have some fun? Hii ndiyo unugu imefanya Mwafrika kuachwa nyuma na kila other race. Ukijaribu tu kufanya kitu different unaambiwa unafanya ‘utoto’.
You don’t have to conform to everything…
Guka tuangushie ile hekaya ya kukamua mkamba underage kwa carpet tena kabla memory loss ianze bana
Mkubwa hiyo kitu ni just $800. Pocket change. Lakini kama card haukubeba tuma tu za WhiteKAP crate moja…
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D Cheza carpet bro…
Mimi bado nko na floorpaper ile ya plastiki
Boss,he is dead. He does not care. Its those still alive who are stingy…if I may call it that way.
By the way,they might have carried the body to the burner Muslim style = 0 expenses.
Budget inakuwa ndogo zaidi…
Kwani kuna membership ya cremation?
m
Hio poll nilijua pande ya fangi will carry the day.
juu 70% of talkers ni regular users
Or were users but forced to quit due to scarcity.
omba sana tusiwai kutana, will obliterate you
Empty threat. Like something else you possess