MMF Yields

[ATTACH=full]492426[/ATTACH]

Hey @ChifuMbitika pokea salamu[ATTACH=full]492427[/ATTACH]

Si kama uko na roho uwekelee pesa cytonn

why is cytonn allowed to advertise

Nimeweka Madison
Siwezi jaribu Cytonn
If it’s too good run

Nimesalimika sana

Hata Madison siezi weka

Hapa Sanlam, COOP, Absa, ICEA, British na maybe Od Mutual.

Sacco always >>> hapa hawajakata admin fee kama 3%

CIC wako ngangari. Huko ndio nimeweka pesa ya kumumunya Nikiingia embobut forest.

I hope wanaambiaga mtu upfront. Isikuwe zile unapewa yellow yellow akusaidie kujaza makaratasi unachanganywa na thighs na saa hio hidden costs ni from here to Timbuktu.

Huwa wanaweka kwa footnote, sacco ya above 9% is better than a 10% mmf