Mluhya spotted in an airport

it was his first time in an aeroplane from Nairobi to Kisumu. U can take a mluhya to Rome bt u cannot take away his uluhyaness.
[ATTACH=full]168656[/ATTACH]

carry on luggage? is that allowed?

Yes, under pets

Eish. Mbaya tu. I can imagine what the cabin will smell like huyo kuku akikunya. Umewahi kaa mahali kuku amekunya lakini?

hehe local flights ni kama matatu tu. si wao hubeba kwa matatu kutoka western hadi kawangware

kwanza yule amelalia mayai…

:D:D:D
hate speech

haha sio hate speech huko ni Chavakali ndogo

Kama mzungu anaweza board na doggy what’s wrong with mluhya doing it with his favorite pet?

sijawai kuwa na shida na harufu ma mafi ya kuku nor kuku

hiyo ni kama food reserves…

Wewe huwezi… Si ni mboga?? :smiley:

Sioni shida hapo

mluhya mrusi tulia

Hio harufu huwa very strong aki.

I think poop huwa imeanza ku decompose ndani ya kuku

Chicken poop makes the best FYM

FYM ndio nini broda?

Hapa ktalk inaeza maanisha vitu mingi sana.

Farm Yard Manure https://www.lotterypost.com/emoticons/thumbsup.gif

Sawa but lazima ilipiwe cage

Wachana na mluhya. Ebu checki hii:
An unruly pig and its owner were escorted from a US Airways flight after it began defecating on the floor and squealing uncontrollably
[ATTACH=full]168693[/ATTACH]